Kielezo Kilichosanifiwa cha Mvua
Kielezo kilichosanifiwa kinachotumika katika Tabianchi hasa kama kiashiria cha ukame, ambacho kwa mahali fulani huonyesha uwezekano wa kiasi fulani cha mvua kutokea, kikitegemea tabianchi ya kigezo hicho cha hali ya hewa. Kinajulikana kimataifa kwa kifupisho SPI (Standardized Precipitation Index).