kigeugeu
Mwelekeo unaopewa upepo unapobadilika badilika mara kwa mara kwa zaidi ya nyuzi 90 katika kipindi cha muda kinacholingana na uangalizi. Hufupishwa kama VRB.