upandaji miti upya
Upandaji wa miti ili kuunda msitu katika eneo ambalo hapo awali lilikuwa na msitu, lakini lilibadilishwa kwa matumizi mengine ya ardhi. Kutokana na jukumu la miti kama visima vya kaboni (unyonyaji wa CO2 kutoka angani, jambo muhimu hasa kwa misitu ya kitropiki), upandaji miti upya ni hatua ya kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi.