mwako wa jua

Mwanga unaozunguka, mara nyingi wenye kusumbua, unaoambatana na hisia ya joto, unaotokea katika baadhi ya siku za mawingu, kutokana na kutawanyika kwa mnururisho wa jua kupitia safu ya mawingu isiyo nzito sana. Mmweko huu wa jua hutokea pia kukiwa na ukungu mwepesi au ukungu wa vumbi.