Uundaji wa fronti

Ni mchakato wa kuundwa au kuimarika kwa fronti. Mienendo ya hewa inayopanda, iwe kwa sababu za joto (convection) au za kimitambo (muunganiko, msukumo wa kijiografia), huchochea uundaji wa fronti.