Upepo Mchangamfu

Jina linalopewa upepo wa nguvu 5 kwenye kipimo cha Beaufort. Hufikia kasi kati ya mafundo 15 na 21 (kilomita 28 na 38 kwa saa).

Istilahilahi zinazohusiana: upepo mwanana