kuganda kwa baridi

Kuwa na baridi kali sana. Kwa kusema kweli si neno la kihali-ya-hewa, lakini linahusiana na baridi, ambayo nayo inahusiana na joto la chini.