ECMWF

Kifupisho kinachotumika kimataifa kwa Kituo cha Ulaya cha Utabiri wa Hali ya Hewa wa Muda wa Kati (European Centre for Medium-Range Weather Forecasts).