UUB (Juu ya Usawa wa Bahari)

Kifupisho kinachotumika duniani kote na huduma za taarifa za usafiri wa anga - ikiwa ni pamoja na ile ya hali ya hewa - kuonyesha "juu ya usawa wa wastani wa bahari".