kupungua

Neno lenye asili ya kibaharia ambalo matumizi yake yameenea kiasi. Linachukua maana ya upepo kulegea, kupoteza nguvu au ukali.