Athari za kupigwa na umeme wa radi

Ni athari zinazosababishwa na umeme wa angani kwenye mwili wa mtu kama matokeo ya kupigwa na radi.