Hali ya Bahari

Mwonekano unaooneshwa na uso wa bahari wakati na mahali fulani, kutegemea hali za hewa zilizopo - nguvu au udhaifu wa upepo unaovuma - na mawimbi ya asili ya bahari (ground swell).

Istilahilahi zinazohusiana: Kipimo cha Bahari cha Douglas