Kupanda kwa maji ya mto / mafuriko ya ghafla

Ni ongezeko kubwa la mtiririko wa mto au kijito, likiambatana na kupanda kwa kiwango cha maji. Mvua kubwa na kuyeyuka kwa theluji ni sababu za kawaida zaidi za mafuriko haya ya ghafla.

Istilahilahi zinazohusiana: mafuriko, mafuriko ya ghafla