anga la sufu

Anga lililojaa mawingu madogo kama sufu. Sawa na anga la sufu (fleecy sky) au anga lenye milia kama samaki wa mackerel (mackerel sky).