theluji nyepesi za muda mfupi
Kunyesha kwa muda mfupi kwa theluji ambapo chembechembe ndogo sana huanguka, mara nyingi kwa vipindivipindi. Ukubwa mdogo wa chembechembe hizi ndogo humaanisha kwamba husonga kwa uhuru mkubwa wakati wa kuanguka kwake, zikipeperushwa hewani na mikurupuko ya upepo, hata pale ambapo hii si mikali sana.