Kundi la Masimulizi

Seti ya masimulizi kutoka kwa mfano wa hali ya hewa au tabianchi ambayo huwezesha utoaji wa utabiri wa uwezekano (probabilistic).

Istilahilahi zinazohusiana: Mfumo wa Utabiri wa Kundi la Masimulizi