baguio
Jina linalotolewa nchini Ufilipino kwa kimbunga cha kitropiki, likilingana na jina la mji katika nchi hiyo, ulioko kaskazini mwa kisiwa cha Luzon. Kutegemea chanzo kinachorejelewa, linaweza pia kuandikwa kama baguió, bagio, au bagyo.
Istilahilahi zinazohusiana: Kimbunga cha Kitropiki