Aquilo

Katika hadithi za miungu za Kirumi, mungu wa upepo wa kaskazini, pia anajulikana kama septentrio. Katika waridi la kale la upepo la Vitruvius (karne ya 1 KK) anaitwa Aquilo na analingana na kaskazini-mashariki.