mrundikano

Ukuaji wa tone la wingu au la tone kubwa zaidi linalonyesha, kutokana na kuongezwa kwa matone madogo mno ya maji yaliyopoa kupita kiasi, ambayo huganda mara moja yanapogongana nalo, na kuongeza uzito na ujazo wake.