unyevu kamili Kiasi cha mvuke wa maji kilichomo hewani kwa kila kipimo cha ujazo. Kwa kawaida huelezwa kwa g/m3.